Skip to main content
Skip to main content

Ashley Kerubo aibuka kuwa mwanafunzi bora baada ya kupata alama ya A

  • | Citizen TV
    12,153 views
    Duration: 3:13
    Aligonga vichwa vya habari kwa mara ya kwanza mwaka wa 2021 alipoibuka miongoni mwa wasichana bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE. Miaka minne baadaye, Ashley Kerubo Momanyi ameng'ara tena na kuwa miongoni mwa wanafunzi bora kwenye mtihani wa KCSE, akipata alama ya A,