Skip to main content
Skip to main content

Zahanti tatu za kibinafsi zafungwa Kawangware

  • | Citizen TV
    1,632 views
    Duration: 1:32
    Baraza la madaktari nchini limefunga kliniki tatu bandia mtaani Kawangware, siku moja baada ya ufichuzi wa muhudumu wa afya aliyemng'oa meno mgonjwa bila utaalam