18 Aug 2025 1:37 pm | Citizen TV 422 views Duration: 3:37 Unyanyapaa na ukosefu wa taarifa umeendelea kuwa sababu kuu za watu wengi walemavu kukosa kujisajili kwa mpango wa kuwasaidia walemavu haswa maeneo ya kaskazini mwa kenya.