Skip to main content
Skip to main content

Gavana Adan Khalif atetea ugatuzi kutokana na shutma

  • | KBC Video
    206 views
    Duration: 1:34
    UGATUZI WATETEWA Gavana wa Mandera Mohamed Adan Khalif amepuuza madai ya baadhi ya wanasiasa ambao wameshutumu serikali za kaunti kwa matumizi mabaya ya fedha. Badala yake Gavana huyo alionya dhidi ya matamshi yanayohujumu ugatuzi, akisema kwamba kauli kama hizo zinaweza kurudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana tangu mfumo huo uanzishwe. Badala yake, alitaka ushirikishwaji, uwajibikaji na ushirikiano kati ya viongozi wa kitaifa na wale wa kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive