Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuzindua mfumo wa kidijitali kuangazia utendakazi

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 1:29
    Serikali inajiandaa kuzindua mfumo wa kidijitali wa kuangazia utendakazi wa wafanyikazi wote wa umma kuanzia mwezi Oktoba. Waziri wa utumishi wa umma Geogrey Ruku amesema mfumo huo utaangazia wakati wafanyikazi wanaingia na kuondoka kazini kwa nia ya kuongeza utoaji wa huduma, uwajibikaji na uwazi katika afisi za serikali.