18 Aug 2025 1:16 pm | Citizen TV 338 views Duration: 1:38 Wakazi wa mji wa kale huko Mombasa wanataka suluhu ya kudumu kutokana na uhaba wa maji ambao umeendelea kuathiri eneo hilo na maeneo mengine katika kaunti hiyo.