18 Aug 2025 1:14 pm | Citizen TV 470 views Duration: 1:46 Usimamizi wa hospitali ya Nairobi Hospital imetangaza kuondolewa kwa ongezeko la asilimia tano kwa wagonjwa kupitia bima lililowasilishwa miaka miwili iliopita.