Skip to main content
Skip to main content

Waziri Murkomen aelezea hofu ya kuibuka kwa magenge

  • | Citizen TV
    3,619 views
    Duration: 1:34
    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameelezea hofu ya kuibuka kwa magenge katika eneo la Kati, kufuatia uharibifu mkubwa uliotokea wakati wa maandamano ya juni na julai mwaka huu.