18 Aug 2025 10:34 am | Citizen TV 242 views Duration: 1:16 Jamii ya wachache ya Gaal jeel, ambayo ni sehemu ya jamii kubwa ya Kisomali katika Kaunti ya Wajir, imejitokeza kutoa wito wa kushirikishwa zaidi katika uongozi wa kitaifa na ule wa kaunti