18 Aug 2025 7:24 am | Citizen TV 865 views Duration: 47s Wabunge wa ODM na UDA wanafanya mkutano wa pamoja katika eneo la karen kutafuta mustakabali wa kutekeleza ajenda kumi zilizoafikiwa wakati vyama hivyo viliingia katika maelewano