Skip to main content
Skip to main content

Uganda yazima mitandao siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    15,380 views
    Duration: 3:00
    Jioni hii, Taifa jirani La Uganda limezima mitandao ya mawasiliano, siku mbili kabla ya nchi hiyo kushiriki uchaguzi mkuu. Tume ya Mawasiliano ya Uganda ikitangaza kufungwa kwa mitandao na kuamrisha kampuni zote zinazotoa huduma za mitandao nchini humo kusitisha huduma hizo kwa muda wa uchaguzi. Haya yanajiri huku Uganda ikiendelea kujipata lawamani kwa kuwazima wapinzani kabla ya uchaguzi huo wa alhamisi.