Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awapa zaidi ya vijana elfu 4 fedha za NYOTA huko Samburu

  • | KBC Video
    545 views
    Duration: 3:58
    Rais William Ruto ametoa wito kwa vijana kutahadhari wanasiasa wanaolenga kuwatumia kuzua ghasia kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Rais aliwashutumu wapinzani wake kwa kuendeleza siasa za maneno matupu badala ya kuwakilisha ajenda yao kwa taifa. Rais alizungumza hayo huko Archers Post, Samburu, wakati wa usambazaji wa fedha za mradi wa Nyota kwa zaidi ya vijana elfu 4 kutoka kaunti za Samburu, Marsabit, Laikipia na Isiolo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive