Skip to main content
Skip to main content

Maafisa watatu wapatikana na hatia ya kuwasaidia wafungwa 3 wa ugaidi kutoroka kutoka gereza Kamiti

  • | KBC Video
    1,380 views
    Duration: 1:40
    Maafisa watatu wa magereza wamepatikana na hatia kwenye Mahakama ya ugaidi ya Kahawa kaunti ya Kiambu kwa kuwasaidia wafungwa watatu wa ugaidi kutoroka kutoka gereza kuu la Kamiti. Katika uamuzi wake, hakimu mkuu mwandamizi Boaz Ombewa alisema tukio hilo lilikuwa la kimaksudi na lililopangwa. Maafisa hao watasalia korokoroni wakisubiri kuhukumiwa wiki ijayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive