Skip to main content
Skip to main content

Mvurya : Hawa vijana wote hapa Machakos wako katika safari ya Singapore

  • | KBC Video
    41 views
    Duration: 1:20
    NYOTA IN MACHAKOS Waziri Salim Mvurya : Hawa vijana wote hapa Machakos wako katika safari ya Singapore . Pesa ya biashara ambayo watapata leo kupitia mpango wa NYOTA ni njia moja ya kuhakikisha wamechangia uchumi wao na uchumi wa Kenya.