Skip to main content
Skip to main content

Kaunti za Pokot Magharibi na Turkana zatambuliwa kama njia kuu za mihadarati ya kuvuka mipaka

  • | KTN News
    258 views
    Duration: 2:45
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Idara ya Polisi katika Ukanda wa Bonde la Ufa imeanzisha uchunguzi mkali kuhusu ulanguzi wa dawa za kulevya katika kaunti zinazopakana na mataifa ya Uganda, Sudan Kusini na Ethiopia. Kamanda wa Polisi wa ukanda huo, Samuel Ndanyi, amesema zaidi ya raia wanane kutoka Burundi wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya mihadarati. Kaunti za Pokot Magharibi na Turkana zimetajwa kuwa katika hatari kubwa kutokana na mipaka yake na mataifa jirani. Ndanyi alikuwa akizungumza mjini Kapenguria, Kaunti ya Pokot Magharibi, alipokutana na wakuu wa usalama na kutoa wito kwa wananchi kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya mihadarati. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews