- 183 viewsDuration: 3:16NYOTA IN MACHAKOS PS Susan Mang'eni : Hawa vijana walinisalimia Disemba ati kwa sababu nilisema watapiga sherehe na hii pesa ya NYOTA. Lakini sahi hizi pesa mtapewa leo ikuwe ya biashara, tutatembea na nyinyi kuona ni biashara gani mnafanya. #KBCniYetu