Serikali imesitisha huduma za mwanakandarasi aliyekuwa akisimamia mradi wa kituo cha kushughulikia majitaka cha Meru, ikitaja ucheleweshaji wa muda mrefu uliotatiza kukamilika kwa mradi huo. Hatua hii imechukuliwa baada ya mradi huo kukumbwa na changamoto za mara kwa mara, zikiwemo maandamano ya wakazi wa Rwanyange na mafuriko yaliyosababisha uharibifu wa miundombinu mara kadhaa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive