- 12,984 viewsDuration: 19:05#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Ugumu wa maisha nchini Kenya umechochea ongezeko la wanawake wanaojitolea kuwabebea mimba watu wengine, maarufu kama surrogacy. Mchakato ambao awali ulilenga kuwasaidia wale wasioweza kupata watoto, sasa umegeuzwa kitega uchumi hatari na ambacho hutumiwa kuwanyanyasa akina dada. Taifa la Kenya likiorodheshwa na baadhi ya ripoti kama “nchi hatari zaidi” kwa shughuli za surrogacy. Ikiwa ni biashara ambayo bado haijadhibitiwa nchini Kenya kisheria, miili ya wanawake sasa imegeuzwa bidhaa, huku maajenti, madalali na watu wenye uwezo wa kifedha wakivuna mamilioni. Hatima ya watoto hawa imetiliwa shaka, baadhi ya watoto wakisemekana kuuzwa kwa sababu za viungo katika mataifa ya nje. Kitengo cha uchunguzi cha KTN Leo kinafichua giza la surrogacy kupitia simulizi ya mwanamke mwenye umri wa miaka 26, mama wa watoto watatu, aliyebeba mimba kwa niaba ya mteja wake Mmarekani — safari iliyoishia maumivu, hasara na maswali mazito yasiyo na majibu. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews