19 Jan 2026 1:24 pm | Citizen TV 240 views Duration: 2:27 Wakaazi katika kijiji Cha Kugitura eneo bunge la Kuria Magharibi wameanzisha mradi wa kuimarisha miundo mbinu katika Shule za chekekea kama njia ya kuweka msingi dhabiti Kwa wanafunzi wachanga.