Skip to main content
Skip to main content

Ajali Kikopey: Watu 7 wafariki, 11 wajeruhiwa

  • | Citizen TV
    2,380 views
    Duration: 1:14
    Watu saba wamefariki huku wengine 11 wakitibiwa katika hospitali tofauti mjini nakuru kufuatia ajali ya barabarani eneo la Kikopey.ajali hiyo ilihusisha trela lilokuwa likitoka upande wa nairobi kuelekea nakuru na magari mawili ya abiria yaliyokuwa yakielekea nairobi kutoka nakuru. Kamanda wa polisi eneo la Gilgil Wilston Mwakio akisema kuwa watu watano walifariki papo hapo na wengine wawili wakifariki katika hospitali ya St Mary’s eneo la Gilgil.