- 478 viewsDuration: 3:41Kwenye taarifa yetu maalum kuhusu mtaala wa CBE, Huku mpito wa kuingia sekondari ya juu ukiendelea, baadhi ya shule katika kaunti ya Isiolo bado zinasoma bila vifaa muhimu . Baadhi ya shule za sekondari msingi tulizotembelea hazina madawati, maabara wala vipakatalishi.