Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya haki yakosoa uchaguzi Uganda, yakiitaka jamii ya kimataifa kuingilia

  • | Citizen TV
    6,277 views
    Duration: 2:38
    Mashirika ya kutetea haki nchini sasa yameutaja ushindi wa Yoweri Museveni kwenye uchaguzi wa wiki iliyopita nchini uganda kuwa wa uwongo, wakiutaja uchaguzi huo kama operesheni dhidi ya wapinzani wa serikali. kwenye kikao na wanahabari hapa Nairobi, mashirika haya yakiongozwa na KHRC yametaka mataifa ya kigeni kuingilia kati kurejesha demokresia nchini humo.