- 22,042 viewsDuration: 28:10Waziri Mkuu wa Denmark amesema Ulaya haitotishwa kwa kuongezewa ushuru na Donald Trump anayeendelea kutoa vitisho kuhusu kukichukua kwa nguvu kisiwa cha Greenland. Rais huyo wa Marekani ametilia mkazo msimamo wake wa kutaka kukinunua kisiwa hicho. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw