Skip to main content
Skip to main content

Mke amchoma mume Busia baada ya kumwagia maji ya moto

  • | Citizen TV
    18,409 views
    Duration: 2:36
    kijana wa miaka 25 anaendelea kutibiwa katika hospitali moja eneo la Busia akiuguza majeraha baada ya mkewe kumchoma kwa maji ya moto. Inaripotiwa kuwa Ishmael Oundoh alimwagiwa maji hayo wakati wa ugomvi na mkewe. Mshukiwa aliyekamatwa awali ameachiliwa kwa dhamana.