19 Jan 2026 8:16 pm | Citizen TV 184 views Duration: 1:39 Taasisi ya kitaifa ya utafiti ya niru imewaleta pamoja wavumbuzi, watafiti na wataalam wa teknolojia KW warsha ya siku mbili inayonuiwa kuimarisha utaalam wa akiliunde kukabili changamoto za usalama na afya.