Skip to main content
Skip to main content

DCP kutaka Ruto azuiliwe kuhutubia umoja wa mataifa kwa madai ya ukiukaji wa haki za kibinaadam

  • | Citizen TV
    16,396 views
    Duration: 1:24
    Chama cha DCP sasa kinasema kitawasilisha hoja kumtaka rais William Ruto kuzuiliwa kutoa hotuba kwenye kongamano lijalo la umoja wa mataifa kutokana na madai ya ukiukaji wa haki za kibinaadam. Kaimu Naibu kinara wa DCP Cleophas Malala ameyasema haya huku akisema chama hicho kiko tayari kumkaribisha kinara wake Rigathi Gachagua atakapowasili nchini siku ya alhamisi. Malala aliyekuwa akiwahutubia wanahabari katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi, amedai njama ya kutatiza mkutano ulioandaliwa na Gachagua katika uwanja wa Kamukunji, jijini Nairobi.