Skip to main content
Skip to main content

Kazi haramu za Urusi

  • | Citizen TV
    2,062 views
    Duration: 3:27
    Familia za wakenya waliokwama nchini urusi zinaendelea kulilia serikali kuingilia kati kuwarejeshwa jamaa zao nyumbani. Baadhi ya wakenya hao wanaripotiwa kuzuiliwa kama wafungwa wa vita na majeshi ya ukraine huku wengine wakiripoti kuuawa. Wizara ya mashauri ya kigeni nchini ikisema kuwa wengi wa wanaoripotiwa walisajiliwa kwa njia zisizo halali