- 5,191 viewsDuration: 1:29Wanasayansi wanaanza kufikiria upya uwezo wa wanyama baada ya ng’ombe kipenzi kutoka Austria aitwaye Veronika kugundulika akitumia zana kujikuna mgongoni na sehemu ya chini ya mwili wake kwa uzoefu wa kipekee. Kama huamini tazama Frank Mavura na habari hii #bbcswahili #ngombe #maajabu 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw