Skip to main content
Skip to main content

"Tunapojitoa kwa watoto wenye ulemavu, ni kitu kikubwa sana kwao"

  • | BBC Swahili
    5,670 views
    Duration: 2:00
    Jijini Dodoma, Tanzania, mwalimu @wakatijosephkalonda anajitahidi kuonesha umuhimu wa elimu jumuishi, yenye usawa na ubora kwa kuwafundisha watoto wasioona katika Shule ya Msingi ya Wasioona ya Buigiri, akiwahamasisha kutochukulia ulemavu wao kama kikwazo cha kufikia ndoto zao, hasa katika elimu. Katika kuadhimisha siku ya haki ya kila mtu kupata elimu kimataifa Januari 24, mwandishi wa BBC, @elizabethkazibure alisafiri hadi Dodoma kukutana naye… 🎥 @bosha_nyanje #bbcswahili #elimu #elimujumuishikwawote #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #ulemavu 🎥 @bosha_nyanje #bbcswahili #elimu #elimujumuishikwawote Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw