Skip to main content
Skip to main content

Dhoruba kali yavunja madirisha ya mgahawa

  • | BBC Swahili
    4,053 views
    Duration: 28s
    Tazama jinsi dhoruba kali ilivyopiga na kusababisha mawimbi ya maji kuingia katika mgahawa wa chakula uliopo kando ya bahari mjini Catania, Sicily wakati Kimbunga Harry kilisababisha uharibifu mkubwa katika eneo la Calabria kusini mwa Italia pamoja na visiwa vya Sardinia na Sicily, hasa katika maeneo ya pwani. #bbcswahili #catania #dhoruba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw