- 1,538 viewsDuration: 3:31Viongozi akina mama wanohusishwa na chama cha ODM eneo la Pwani, wamempongeza mjane wa aliyekuwa waziri marehemu Raila Odinga, mama Ida Odinga kwa kuteuliwa kama balozi wa Kenya na mwakilishi wa kudumu katika shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira (UNEP). Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya