Skip to main content
Skip to main content

Wendani wa rais Ruto wamemchana Gachagua, wasema ni mkabila

  • | NTV Video
    198 views
    Wandani wa rais William Ruto kutoka kaunti ya Marsabit, wamemchana aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, kwa madai yake kuwa viongozi hao wamefuja pesa za maendeleo katika maeneo yao na kuwekeza kwenye mabiashara jijini Nairobi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya