- 238 viewsDuration: 2:54Mamia ya kina mama katika kaunti ya samburu wamejitokeza kumtetea mwakilishi wa kike wa kaunti hiyo,dhidi ya maandamano yaliyofanyika mji wa Maralal akilaumiwa kutumia visivyo chakula cha msaada. Kina mama hao wametaja maandamano hayo kuendeshwa na wapinzani wake wanaolenga kupaka tope rekodi yake nzuri ya utendakazi.