Skip to main content
Skip to main content

Ukame wa muda mrefu eneo la Mandera waacha wafugaji kwenye njia panda

  • | NTV Video
    222 views
    Duration: 2:12
    Ufugaji wa mifugo unabaki kuwa uti wa mgongo wa riziki katika kaunti ya Mandera, huku maeneo mengi yakitegemea ng'ombe, mbuzi, kondoo, na ngamia kukidhi mahitaji ya kila siku. hata hivyo, ukame wa muda mrefu unaokumba eneo hilo umetoa pigo kubwa kwa jamii za wafugaji, huku hasara kubwa ya mifugo ikiendelea kuongezeka. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya