Skip to main content
Skip to main content

Faith Kipyegon aanzisha ujenzi wa hospitali ya kujifungulia kwa kinamama Nakuru

  • | NTV Video
    446 views
    Duration: 3:45
    Malkia wa mbio za 1500 duniani na Olimpiki Faith Kipyegon aliweka jiwe la msingi kuashiria kuanzisha rasmi kwa ujenzi wa hospitali ya kujifungulia kwa kinamama huko Keringet kaunti ya Nakuru. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya