- 2,556 viewsDuration: 3:08Viongozi wa makanisa na mashirika ya haki yamekosoa shambulizi dhidi ya waumini katika kanisa la ACK Witima kaunti ya Nyeri hapo jana. Kanisa la kianglikana ACK, likilaumu polisi kwa kile wanasema ni kushirikiana na wahuni kuvuruga ibada huku baraza la makanisa likitaka polisi kuomba msamaha kwa tukio hilo. Aidha, shirika la kutetea haki la KNCHR likitaja uvamisi huu kuwa ukiukaji mkubwa wa uhuru wa kuabudu.