- 9,201 viewsDuration: 48sNi mwaka mmoja sasa tangu waasi wa M23 kuuteka mji wa Goma, mashariki mwa DRC. Tangu wakati huo wameteka miji mingine na kuongeza uthibiti wao eneo. Lakini je, uthibiti wao wa mashariki mwa Congo umekuwa na athari zipi? Na je, juhudi za kuleta amani mashariki mwa DRC zinakaribia kuzaa matunda mwaka mmoja tangu utekaji huo? @roncliffeodit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw