Skip to main content
Skip to main content

Rais athibitisha mazungumzo ya muungano wa UDA na ODM kuelekea 2027

  • | Citizen TV
    6,323 views
    Duration: 2:34
    Baraza Kuu la chama cha UDA limeidhinisha kuendelezwa kwa mazungumzo ya kubuni muungano wa kisiasa na chama cha ODM kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika ikulu ya Nairobi, rais William Ruto amesema kuwa chama cha UDA kupitia ushirikiano na ODM, kinajiimarisha kuhakikisha kinapata ushindi wa zaidi ya kura milioni tatu.