Skip to main content
Skip to main content

Mashahidi watoa ushahidi kortini Kibra katika kesi ya mauaji ya Sylvia Kemunto dhidi ya Mutinda

  • | Citizen TV
    2,651 views
    Duration: 2:27
    Kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo Kikuu cha Multimedia ambaye MAITI YAKE Ilipatikana ndani ya tanGi la maji katika bweni la chuo hicho mwaka jana imeanza kusikiliZwa leo. Mashahidi 8 wametoa ushahidi wao kuhusu kifo cha Sylvia Kemunto huku mmoja wa mashahidi akifichua namna rafikiye ambaye ni mshukiwa mkuu wa mauaji hayo Eric Mutinda alivyokiri kuhusika baada ya mauaji hayo.