- 5,656 viewsDuration: 2:03Hawa ni Pacha ambao wanafunzi wenzao na mwalimu waliuawa wakati shule yao iliposhambuliwa kwa mabomu nchini Sudan wakizungumzia siku ambayo maisha yao yalibadilika. Pacha hao sasa wamerejea shuleni huku wakiwa na kumbukumbu mbaya ikiwemo marafiki zao kuuawa #bbcswahili #Sudan #rsf Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw