Ongezeko la migogoro kati ya binadamu na wanyama pori katika maeneo tofauti ya nchi limesababisha hofu na maafa, huku miito ikitolewa ya hatua za dharura kukomesha uharibifu huo. Katika soko la Limuru kaunti ya Kiambu, wafanyabiashara wa kondoo wanakadiria hasara kubwa baada ya mnyama ambaye hakutambuliwa kuvamia zizi usiku, na kuwajeruhi mbuzi kadhaa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive