Waziri mwenye mamlaka makuu aliye pia waziri wa mashauri ya nchi za kigeni, Musalia Mudavadi, alihudhuria maadhimisho ya miaka-77 ya Jamhuri ya India. Hafla hiyo iliandaliwa kwenye ubalozi wa India humu nchini jijini Nairobi, ambapo Mudavadi alisifia mahusiano thabiti na ya kihistoria baina ya Kenya na India.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive