Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kidini Kakamega waahidi kushirikiana na serikali kukabiliana na utumizi wa mihadarati

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 3:51
    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Kakamega wameahidi kushirikiana na asasi za serikali ili kukabiliana na utumizi wa mihadarati, huku kaunti hiyo ikitajwa kuwa inayoongoza katika utengenezaji na unywaji wa pombe haramu. Taarifa hizi na zaidi katika mkusanyiko wetu wa habari za magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive