- 12,450 viewsDuration: 42sMaporomoko makubwa ya ardhi yamesababisha nyufa ardhini na nyumba nyingi zilizoko kwenye mwinuko katika mji wa Niscemi, Sicily nchini Italia, zikiwa hatarini kuanguka. - Wenyeji wanasema tukio hilo lilitokea baada ya mvua kunyesha kwa siku kadhaa. - - #bbcswahili #italy #foryou #maporomoko #sicily Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw