- 1,682 viewsDuration: 2:26TUME YA KUPAMBANA NA UFISADI -EACC- IMESEMA KWAMBA TAYARI INAENDELEA NA UCHUNGUZI DHIDI YA BAADHI YA WABUNGE NA MASENETA WANAODAIWA KUITISHA HONGO. MWENYEKITI WA EACC DAVID OGINDE ANASEMA KUWA BAADHI YA MALALAMISHI YAMEWASILISHWA NA MAAFISA WAKUU NA VIONGOZI WA MASHIRIKA MBALIMBALI WANAODAI KUWA KAMATI ZA BUNGE ZINAITISHA RUSHWA. OGINDE ANASEMA EACC ITAKUTANA NA MASPIKA WA WABUNGE YOTE MAWILI ILI KUHAKIKISHA KUWA WABUNGE WANAODAIWA RUSHWA WANACHUKULIWA HATUA