Skip to main content
Skip to main content

'Mafisadi wa nchi hii ni walafi' - Mbunge wa Tanzania

  • | BBC Swahili
    16,734 views
    Duration: 1:29
    “Wananchi wa sasa hivi sio wajinga, wanajua kabisa hili jengo la fulani na hiki kitu cha fulani na huyu yuko serikalini ni mwizi aliyekubuhu” Mbunge wa Jimbo la Gairo, Morogoro, nchini Tanzania Ahmed Shabiby anasema kuwa sasa hivi mafisadi wa nchini humo ni walaji na walafi na wamekuwa wakifanya kama vile wananchi hawaelewi hivyo yupo tayari kuwataja. #bbcswahili #tanzania #UongoziBora Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw