Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani watangaza watateua mgombea urais mmoja kumng’atua Ruto

  • | Citizen TV
    15,875 views
    Duration: 3:01
    Viongozi wa upinzani wametangaza kuwa watateua mgombea urais mmoja kwa lengo la kumng'atua rais William Ruto mamlakani kufikia mwaka ujao. Wakihudhuria kongamano la baraza kuu la chama cha DP hapa Nairobi, viongozi hao walitangaza kwamba watawachukulia hatua wale waliopanga, kudhamini na kutekeleza mashambulizi dhidi ya kinara wa DCP Rigath Gachagua Jumapili iliyopita eneo la Othaya, kaunti ya Nyeri.