Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Binance yatoa huduma za usalama

  • | KBC Video
    38 views
    Duration: 55s
    Kampuni ya Binance imezindua kampeni ya usalama inayolengwa kuwakinga wawekezaji wa mtandaoni. Afisa mkuu wa kampuni ya Binance kanda hii, Saruni Maina, amesema kampuni hiyo hutumia mbinu za kisasa za kiusalama kulinda mali na fedha za wawekezaji mtandaoni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive