19 Aug 2025 1:25 pm | Citizen TV 1,240 views Duration: 3:01 Mamlaka ya kudhibiti utalii nchini imeanzisha msako dhidi ya magari ya utalii ambayo hayajasajiliwa. Hii ni kufuatia wasiwasi wa wadau wa utalii kuhusu ukosefu wa nidhamu katika sekta hiyo.