19 Aug 2025 1:09 pm | Citizen TV 246 views Duration: 1:28 Mwenyekiti wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC David Oginde amewaonya wafanyakazi wa umma wanaojihusisha na ufisadi akisema ufisadi umekita mizizi nchini.